Thursday, December 20, 2018

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: Sera na sheria kuhusu matumizi ya Pombe ni muhimu kwa afya ya Taifa letu


Watu zaidi ya milioni 3 walifariki kutokana na matumizi mabaya ya pombe mwaka 2016.  Zaidi ya robo tatu ya vifo hivi vilikuwa ni vya wanaume. Kwa ujumla, matumizi mabaya ya pombe husababisha zaidi ya asilimia 5 ya mzigo wa magonjwa duniani.  Hii ni kwa mujibu wa  ripoti iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) September mwaka huu ya ripoti ya hali ya Duniani kuhusu unywaji  pombe na afya 2018 (Global status report on alcohol and health 2018).

Kwa vifo vyote vinavyotokana na pombe, asilimia 28  vilikuwa vinatokana na majeruhi, kama vile ajali za barabarani, kujidhuru na unyanyasaji wa kibinafsi, huku  asilimia 21 vikiwa ni  kutokana na matatizo ya utumbo,  asilimia 19 kutokana na magonjwa ya moyo, na sababu nyingine ni  kutokana na magonjwa ya kuambukiza, kansa, matatizo ya akili na hali nyingine za afya.

Vifo vinavyotokana na matumizi ya pombe ni vingi zaidi kuliko vile vinavyosababishwa na magonjwa kama vile kifua kikuu, VVU / UKIMWI na ugonjwa wa kisukari. Kwa mujibu wa WHO mzigo wa maradhi ya pombe ni mkubwa zaidi katika nchi za kipato cha chini  (Tanzania ikiwemo) na kipato cha kati ikilinganishwa na nchi zilizoendelea.

Matumizi ya kila siku ya watu wanaokunywa pombe ni gramu 33 za pombe kwa siku moja, sawa na glasi 2  ya wine, au  chupa kubwa ya bia.  Kwa ujumla, matumizi ya pombe yanasababisha   zaidi ya magonjwa 200.
Licha ya madhara ya afya, matumizi mabaya ya pombe huleta hasara kubwa  kijamii na kiuchumi, kwa watu binafsi na jamii kwa ujumla.

Matumizi ya pombe na athari zake ni tatizo linalozidi kukua nchini Tanzania, na linapaswa kudhibitiwa haraka iwezekanavyo. TAAnet inazikumbusha  taasisi husika pamoja na Serikali kuangalia kwa hakara namna ya kudhibiti tabia hiyo ili kunusuru maisha ya vijana yanayoendelea kuharibika kila siku. Kutokana na madhara makubwa ambayo yamekuwa yakisababishwa na unywaji pombe, kama vile ilivyofanya katika kupinga matumizi ya viroba na upatikanaji wa pombe nyingine rahisi.

Mtandao wa Wadau  wa kupambana na unywaji pombe kupita kiasi  – TAAnet unaungana na wadau wote Nchini na Duniani kote kupinga matumizi ya pombe.  TAAnet inaunga mapendelezo ambayo yamefanyiwa tafiiti na kupendekezwa na  Shirika la Afya Dunuani mwezi Septemba mwaka huu katika repoti yake ya Global status report on alcohol and health 2018.  

WHO inapendekeza kuwa ila kuweza kuzia madhara yote  yanayotokana na matumizi  mabaya ya pombe kunahitajika uwezo mkubwa na ujuzi wa kisayansi kwa watunga sera juu ya  ufanisi wa mikakati yafuatayo:

  1. Kudhibiti uuzaji wa vinywaji  holela  (hasa kwa vijana), pamoja  na kusimamia na kuzuia upatikanaji wa pombe;
  2. Kufanya maboresho ya sheria ya usalama barabarani na kutengeneza sera ili kuthibiti madereva wanaoendesha gari huku wakiwa wamelewa;
  3. Kupunguza mahitaji kupitia kodi na taratibu za bei;
  4. Kuzidi kutoa elimu ya  ufahamu wa matatizo ya afya  yanayosababishwa na matumizi mabaya ya pombe na kusimamia utekelezaji  sera ;
  5. Kurahisisha upatikanaji na matibabu ya gharama nafuu kwa watu wenye matatizo ya matumizi ya pombe; na
  6. Kuzuia matangazo katika vyombo vya habari yanayohamasisha kuhusu matumizi ya pombe.

Sisi Wadau wa mtandao  tuna amini kuwa Sera zenye ufanisi na utekelezaji ni muhimu kwa kupunguza madhara yanayosababishwa na pombe Tanzania.

Kama wadau wa kupambana na madhara ya unywaji pombe , tungependa kuona watunga sera wanalitafutia tatizo hili suluhisho kwa  kuja na ufumbuzi wenye ubunifu ambao utaokoa maisha ya watu, kama vile kutokomeza unywaji pombe kupindukia.
Tanzania ni miongoni mwa Nchi ambazo bado haina sera/muongozo  wa pombe ukilingalinisha na Nchi jirani kama Zambia, Kenya, Malawi huku Uganda wakiwa njiani kumalizia mkakati wa sera yao ya pombe.

TAAnet inapendekeza kupitiwa kwa sheria na kuweka masharti kuhusiana na matangazo, uuzaji na udhamini wa pombe pamoja na kuonyeshwa kwa onyo la athari za pombe   kwenye matangazo ya vilevi ili kupunguza matumizi yake kwa jamii.

TAAnet inaamini kwamba, endapo kutakuwa na sera ya kudhibiti matumizi mabaya ya pombe, wanaume watawajibika zaidi na kuacha matumizi ya vileo yaliyopitiza , yanayochangia unyanyasaji wa kijinsia, na badala yake kuchangia ustawi wa familia na kukuza maendeleo kwenye jamii na katika Taifa kwa ujumla.

Kupunguza matumizi mabaya ya pombe kutasaidia kufikia malengo ya Malengo endelevu ya dunia (SDGs)  yanayohusiana na afya  ikiwa ni pamoja na  afya ya uzazi na watoto, magonjwa ya kuambukiza, magonjwa yasiyoambukizwa na magonjwa ya akili, majeraha na sumu.

Ni wakati muafaka  kwa sasa kwa Serikali, wanasiasa na watunga sera kuchukua ajenda hii na kuifanyia kazi katika mipango kazi zao mbalimbali.

Kwa taarifa hii kama ilivyotolewa kwa niaba ya Mtandao wa Asasi zinazopinga matumizi mabaya ya pombe nchini Tanzania, naomba kuwasilisha.


Sophia Komba
Mwenyekiti - TAAnet

Thursday, June 21, 2018

IOGT – NTO Movement Sweeden host an Annual Partners Meeting


IOGT - NTO Movement Sweeden is hosting the Annual Partner Meeting (APM) for all Great Lakes Partners in Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi and Rwanda.  The APM started on 18th -21st June, 2018 at Landmark Mbezi Beach Resort in Dar es Salaam.

The meeting is an excellent opportunity to meet likeminded organizations from around the East African region and to gain new insights on the issues that we all work with on a daily basis. The focus on this year’s meeting will be the next four years programme as well as the national and local legislation processes going on in East Africa.

All partners were required to prepare a short summary/description on methods/best practices that have been successful during 2017. Network partners also required to prepare a status- and progress report on alcohol policy and legislation process including strengths and weaknesses of the network. CBA-partners working with by-laws prepare a summary/short description explaining procedures how by-laws are endorsed and implemented. Also, all partners required to bring to the workshop IEC-materials giving visibility of the IOGT-projects.

2018 APM has its unique mode of operating whereby each organization shall work in a collaboration with different partners where partners are  grouped thematically  in some of the sessions such as Children/Youth; Community Based Approach; Networks and Girl Guides.

 

Wednesday, February 21, 2018

RE-ADVERTISED: EMPLOYMENT OPPORTUNITY

The Tanzania Networking Against Alcohol Abuse-TAAnet is a non-partisan, non-profit sharing that works towards the improvement of public health and social economic status of the Tanzania population through reduction of alcohol abuse. With the Vision of nation free from public health and social economic problems caused by alcohol abuse and a Mission of contributing significantly to the promotion of healthy and productive lifestyle through addressing alcohol abuse in Tanzania.

Postition: COORDINATOR.
Employment type: Full Time.
Level of Education: Degree in LAW/SOCIAL/EDUCATION
1.0 Criteria/requirement
• Not less than 3 years experience with a civil society organisation.
• Understanding of Laws and general political affairs of Tanzania how they relate to everyday life
• Understanding of TAAnet’s operations and its relation with other organizations/associations that provide support to survivors of GBV
• Computer literate.
• Ability to work effectively and efficiently with minimum supervision and under tight deadlines.
• High level of interpersonal skills.
• Can take initiatives
• Excellent written and spoken English and Swahili.
2.0 Duties and Responsibilities:
• To follow up on progress and all TAAnet’s activities.
• To prepare daily reports about daily undertakings.
• To prepare Governing Board meetings.
• To be the Secretary to the Governing Board meetings.
• To work with the Governing Board in preparing Annual General Meetings.
• To prepare narrative reports for the Network.
• To write/prepare proposals for the Network.
• To work with the Governing Board in preparing annual budgets, strategic plans and annual implementation plans for the Network.
• To prepare narrative and quarterly project implementation reports.
• To oversee smooth implementation of the Network strategic and operational activities.
• To undertake any other duties assigned by the Executive Committee Members.
• Preside over national level meetings that are called in support of Network activities.
• Assist in identifying funding opportunities and preparing proposals to diversify funding sources for TAAnet.
• Participate in local/ international trainings/meetings and seminars on pertinent topics as appropriate
Those interested should send their CV and copies of their certificates indicating on the subject line the post they are applying for.
DEADLINE: 6th March, 2018
Applications should be sent to:
Secretary General,
TAAnet, E-maiL: taanet2016@gmail.com copy /cc: gladness.munuo@tamwa.org
DSM.
Only shortlisted candidates will be contacted.

Thursday, January 18, 2018

PART TIME EMPLOYMENT OPPORTUNITY - ADVERTISED

The Tanzania Networking Against Alcohol Abuse-TAAnet is a non-partisan, non-profit sharing  that works towards the improvement of public health and social economic status of the Tanzania population through reduction of alcohol abuse. With the Vision of nation free from public health and social economic problems caused by alcohol abuse and a Mission of contributing significantly to the promotion of healthy and productive lifestyle through addressing alcohol abuse in Tanzania.

1.0  COORDINATOR
Level of Education: Degree in LAW/SOCIAL/EDUCATION

Criteria/requirement
·         Not less than 3 years experience with a civil society organisation.
·         Understanding of Laws and general political affairs of Tanzania how they relate to everyday life
·         Understanding of TAAnet’s operations and its relation with other organizations/associations that provide support to survivors of GBV
·         Computer literate.
·         Ability to work effectively and efficiently with minimum supervision and under tight deadlines.
·         High level of interpersonal skills.
·         Can take initiatives
·         Excellent written and spoken English and Swahili.

2.0  Duties and Responsibilities:
·         To follow up on progress and all TAAnet’s activities.
·         To prepare daily reports about daily undertakings.
·         To prepare Governing Board meetings.
·         To be the Secretary to the Governing Board meetings.
·         To work with the Governing Board in preparing Annual General Meetings.
·         To prepare narrative reports for the Network.
·         To write/prepare proposals for the Network.
·         To work with the Governing Board in preparing annual budgets, strategic plans and annual implementation plans for the Network.
·         To prepare narrative and quarterly project implementation reports.
·         To oversee smooth implementation of the Network strategic and operational activities.
·         To undertake any other duties assigned by the Executive Committee Members.
·         Preside over national level meetings that are called in support of Network activities.
·         Assist in identifying funding opportunities and preparing proposals to diversify funding sources for TAAnet.
·         Participate in local/ international trainings/meetings and seminars on pertinent topics as appropriate

Those interested should send their CV and copies of their certificates indicating on the subject line the post they are applying for.

DEADLINE: 16th February, 2018

Applications should be sent to:
Secretary General,
TAAnet, E-maiL: taanet2016@gmail.com or copy to gladness.munuo@tamwa.org
 DSM.


Only shortlisted candidates will be contacted.